KIKOTI EDUCATION CENTRE

KIKOTI EDUCATION CENTRE

Jumapili, 9 Septemba 2018

KIKOTI EDUCATION CENTRE PRE FORM ONE 2018



KIKOTI EDUCATION CENTRE -ILULA MADIZINI
INAKUTANGAZIA KWAMBA ITAANZA KUTOA MAFUNZO YA kujiandaa na kujiunga kidato cha kwanza (PRE FORM ONE) usajiri utaanza rasmi tarehe 07/09/2018.
 Isimila tour 2017
 

ü Somo ya kiingereza  litapewa kipaumbele zaidi kuwawezesha wanafunzi kujua kuzungumza na kuitumia lugha ya kiingereza ndani ya muda mfupi wakati wa kozi(ENGLISH ORIENTATION COURSE).
ü Masomo yatayofundishwa. Masomo yote yatafundishwa kipaumbele ni sayansi na kiingereza.
ü Ada itakuwa ni shilingi 20,000/= kwa muda wa miezi mitatu.vitu vifuatavyo vitagharamiwa na Kituo:- Tisheti ,Daftari, pen na pencel vitagawiwa bure kabisa.
ü Chakula: uji na chai na chakula cha mchana(wali) siku ya jumatano, Michezo na burudani: tutakuwa na michezo mbalimbali, pia tutakua na mashindano ya mpira na midahalo na shule nyingine kama nyalumbu, kiheka, mazombe,Ilula na shule nyingine nje ya ilula kama Iringa Girls.
ü Vitabu: kikoti Education centre tunavitabu vya masomo yote.
ü Debate (midahalo) ya kitaaluma itaendela kuwepo ili kumjenga mwanafunzi kujiamini katika kutumia lugha ya kiingereza.
ü Malezi : Kituo kina walimu waliobobea katika malezi na wenye uwezo wa kuwaleta wanafunzi katika maadili
ü Tour (ziara za kimasomo) zitakuwepo kuwafanya wanafunzi waweze kusoma kwa vitendo kwa kutembelea shule mbalimbali.
ü Baada ya kozi kwisha kituo huandaa sherehe na kuwatunuku vyeti na zawadi wanafunzi walioonyesha juhudi katika masomo na nidhamu.                                          
KIKOTI EDUCATION CENTRE -ILULA MADIZINI