INAKUTANGAZIA KWAMBA
ITAANZA KUTOA MAFUNZO YA kujiandaa na kujiunga kidato cha kwanza (PRE FORM ONE)
usajiri utaanza
rasmi tarehe 07/09/2018.
|
ü Somo ya kiingereza litapewa kipaumbele zaidi kuwawezesha
wanafunzi kujua kuzungumza na kuitumia lugha
ya kiingereza
ndani ya muda mfupi wakati wa kozi(ENGLISH ORIENTATION COURSE).
ü Masomo yatayofundishwa. Masomo yote yatafundishwa
kipaumbele ni sayansi na kiingereza.
ü Ada itakuwa ni shilingi 20,000/= kwa muda wa
miezi mitatu.vitu vifuatavyo vitagharamiwa na Kituo:- Tisheti ,Daftari, pen na pencel vitagawiwa
bure kabisa.
ü Chakula: uji na chai na
chakula cha mchana(wali) siku ya jumatano, Michezo
na burudani: tutakuwa na michezo mbalimbali,
pia tutakua na mashindano ya mpira na midahalo na shule nyingine
kama nyalumbu, kiheka, mazombe,Ilula na shule nyingine nje ya ilula kama Iringa
Girls.
ü Vitabu: kikoti
Education centre tunavitabu vya masomo yote.
ü Debate (midahalo) ya kitaaluma itaendela kuwepo ili kumjenga mwanafunzi kujiamini katika kutumia lugha
ya kiingereza.
ü Malezi : Kituo kina walimu waliobobea
katika malezi na wenye uwezo wa kuwaleta wanafunzi katika maadili
ü Tour (ziara za kimasomo) zitakuwepo kuwafanya wanafunzi waweze
kusoma kwa vitendo kwa kutembelea shule mbalimbali.
ü Baada ya kozi
kwisha kituo huandaa sherehe na kuwatunuku vyeti na zawadi wanafunzi
walioonyesha juhudi katika masomo na nidhamu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni