KIKOTI EDUCATION CENTRE

KIKOTI EDUCATION CENTRE

Alhamisi, 25 Mei 2017

Tangazo kwa walioomba ajira KIKOTI EDUCATION CENTRE

Uongozi wa Kikoti Education Centre kwa unapenda kuwaataarifu walimu wote walioomba kufundisha katika kituo chetu cha elimu kwamba tumeshapokea maombi yenu na kutokana na wingi wa maombi kikoti uongozi unaendelea kuchambua maombi ya walioomba ili kuita katika usahili watu sahihi
Taarifa za kuitwa kwenye usahiri zitatolewa kupitia email mlizozitumia wakati mkiomba siku ya tarehe 27/06/2017 ili kujiandaa kwa interview tarehe 29/06/2017.
Taarifa imetolewa kwenu na mtaaluma Mwandamizi
mbalale@gmail.com au 0716514556- mwl mbalale
asanteni 

Jumamosi, 13 Mei 2017

KARIBUNI



1472028441573.jpg                            KIKOTI EDUCATION CENTRE –ILULA MADIZINI
 Inakutangazia masomo ya tuition Kwa kidato cha kwanza hadi cha sita kwa masomo   yote yaani ya SAYANSI na SANAA katika majengo ya kanisa katoriki madizi karibu na soko kuu la TASAF
Ø Tuition itaanza tarehe 05/06/2017 kuanzia saa moja na nusu asubuhi hadi saa saba kamili mchana
Ø Ada itakuwa ni shilingi Elfu kumi tu kwa kidato cha kwanza mpaka cha nne(10,000/=)
Ø Kwa kidato cha tano na sita ada ni 25,000 kwa masomo ya sanaa na 30,000 kwa masomo ya sayansi
Ø Walimu waliobobea katika masomo haya wapo na wakutosha
Ø Study tour (safari za kimasomo hasa katika vivutio vya utalii) itakuwepo kama ilivo desturi yetu.
Ø Kituo kitatoa chakula cha asubuhi yaani chai na uji kila siku za masomo
Ø Vitini vya masomo vitapatikana kituoni kwa bei rahisi kabisa
Ø Kwa kidato cha pili na cha nne tutafanya solving ya mitihani mbalimbali ikiwemo ya taifa na mock kutoka mikoa mengine
Ø Usajiri kuaanza rasmi tarehe 29/05/2017 kwa wanafunzi kutoka mbali usaidizi wa kupata vyumba upo.
Ø Kwa elimu bora na malezi bora kwa mtoto wako mlete mwanao Kikoti Education Centre epuka tuition za vichochoroni ni hatari kwa ustawi wa taaluma kwa mtoto wako
Karibuni mpate elimu bora kwa taarifa zaidi tupigie kupitia namba +255769694963 or +255629121512 - Mkuu wa Kituo – utawala
 +255716514556 – Mkuu kitengo cha taaluma – utawala au tembelea webmail ya kituo Http//:www.kikotieducation.blogspot.com (kikoti education centre blog) au fika shuleni kwetu ilula madizini