Inakutangazia masomo ya
tuition Kwa kidato cha kwanza hadi cha
sita kwa masomo yote yaani ya SAYANSI na SANAA katika majengo ya kanisa katoriki madizi karibu na soko kuu
la TASAF
Ø Tuition
itaanza tarehe 05/06/2017 kuanzia
saa moja na nusu asubuhi hadi saa saba kamili mchana
Ø Ada
itakuwa ni shilingi Elfu kumi tu kwa kidato cha kwanza mpaka
cha nne(10,000/=)
Ø Kwa kidato cha tano na sita ada ni 25,000 kwa
masomo ya sanaa na 30,000 kwa masomo ya sayansi
Ø Walimu
waliobobea katika masomo haya wapo na wakutosha
Ø Study
tour (safari za kimasomo hasa katika
vivutio vya utalii) itakuwepo kama ilivo desturi yetu.
Ø Kituo
kitatoa chakula cha asubuhi yaani
chai na uji kila siku za masomo
Ø Vitini
vya masomo vitapatikana kituoni kwa bei rahisi kabisa
Ø Kwa
kidato cha pili na cha nne tutafanya solving ya mitihani mbalimbali ikiwemo ya
taifa na mock kutoka mikoa mengine
Ø Usajiri kuaanza
rasmi tarehe 29/05/2017 kwa
wanafunzi kutoka mbali usaidizi wa kupata vyumba upo.
Ø Kwa
elimu bora na malezi bora kwa mtoto wako mlete mwanao Kikoti Education Centre
epuka tuition za vichochoroni ni hatari kwa ustawi wa taaluma kwa mtoto wako
Karibuni
mpate elimu bora kwa taarifa zaidi tupigie kupitia namba +255769694963 or +255629121512 - Mkuu wa Kituo – utawala
+255716514556 – Mkuu kitengo cha taaluma – utawala
au tembelea webmail ya kituo Http//:www.kikotieducation.blogspot.com
(kikoti education centre blog) au fika shuleni kwetu ilula madizini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni